IFAHAMU NGUVU YA MSALABA
Yafuatayo ni baadhi tu ya Yale ambayo Msalaba wa Yesu umeyashughulikia; 1.UMEIVUNJA NGUVU YA DHAMB I ( 1Yohana 3:8) Yesu alidhihirishwa ili aiharibu NGUVU YA DHAMBI…Alifanya hivyo kwa “KUZIBEBA DHAMBI ZETU MWILINI MWAKE JUU YA MTI[MSALABA], ILI TUKIWA WAFU KWA MAMBO YA DHAMBI TUWE HAI KWA MAMBO YA HAKI…” (1Petro 2:24) 2.ALILIPA GHARAMA YA DHAMBI KISHERIA (2Kor 5:21) Yeye asiyeijua dhambi [Yesu] alifanyika dhambi ili sisi tupate kufanyika HAKI YA MUNGU…Badala ya sisi kulipia gharama ya dhambi, “MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI…” Yeye Yesu kama Mwanakondoo wa Mungu(Yohana 1:28,35) alichinjwa na kulipia adhabu ya dhambi zetu…Ndio maana alipokuwa Kalvari, kwa kule KUBEBA DHAMBI ZETU MWILINI MWAKE (1Petro 2:24), Mungu alimgeuzia mgongo na kumwacha, akapaza sauti na kulia, “MUNGU WANGU, MUNGU WANGU, MBONA UMENIACHA?” 3.AMETUFANYA WENYE HAKI WA MUNGU (Rumi 8:34) Ni nani atakayewahukumu Wateule wa Mungu [sisi tulio ndani ya Yesu]? Mungu mwenyewe ndiy...
Comments
Post a Comment